Ufunuo 5:4-5
Nami nikalia na kulia kwa sababu hakupatikana mtu ye yote aliyestahili kukifungua kile kitabu au kuchungulia ndani. Kisha mmoja wa wale wazee akaniambia, “Usilie! Tazama, Simba wa kabila la Yuda, Shina la Daudi, ameshinda. Anaweza kukifungua hicho kitabu cha kukunjwa na mihuri yake saba.”’