Ufunuo 18:4-5
“Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema: “‘Tokeni kwake, enyi watu wangu,’ ili msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake yo yote; kwa maana dhambi zake ni lundo mpaka mbinguni, na Mungu amekumbuka makosa yake.