Ufunuo 1:19-20
“Basi, uyaandike yale uliyoyaona, yaliyo sasa na yatakayotokea baadaye. Siri ya zile nyota saba ulizoziona katika mkono wangu wa kulia na ya vile vinara saba vya dhahabu ni hii: Zile nyota saba ni malaika wa yale makanisa saba na vile vinara saba vya taa ni yale makanisa saba.