Zaburi 8:3-6
"Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziweka, mwanadamu ni kitu gani hata umkumbuke, na mwanadamu hata umwangalie? umemfanya mdogo punde kuliko viumbe vya mbinguni, ukamvika taji ya utukufu na heshima;