Obadia 1:3-4
“Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, wewe ukaaye katika pango za miamba, na kufanya makao yako juu ya vilima, wewe ujiambiaye, Ni nani awezaye kunishusha chini? Ingawa utapaa kama tai na kujenga kiota chako kati ya nyota, kutoka huko nitakushusha chini,” asema BWANA.