Hesabu 20:10-11
“Yeye na Haruni wakawakusanya makutano mbele ya mwamba, Musa akawaambia, Sikilizeni, enyi waasi, je, tuwatoe maji katika mwamba huu? Kisha Musa akainua mkono wake na kuupiga ule mwamba mara mbili kwa fimbo yake. Maji yakabubujika, jumuiya na mifugo yao wakanywa.'