top of page

Mathayo 7:24-29

  • “Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, anafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile; kuanguka, kwa sababu msingi wake ulikuwa juu ya mwamba."

bottom of page