Mathayo 7:13-14
“Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba. Maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Lakini mlango ni mwembamba, na njia ni nyembamba iendayo uzimani, nao waionao ni wachache."