top of page

Mathayo 6:19-21

  • “Msijiwekee hazina duniani ambako nondo na wadudu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Lakini jiwekeeni hazina mbinguni, ambako nondo na wadudu hawaharibu, na wevi hawavunji na kuiba. Kwa maana hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako.”

Inaendeshwa na kulindwa na Wix

bottom of page