top of page

Mathayo 25:1-4

  • “Wakati huo ufalme wa mbinguni utafanana na wanawali kumi waliochukua taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi. Watano kati yao walikuwa wapumbavu na watano wenye busara. Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta pamoja nao. Lakini wale wenye hekima walichukua mafuta katika mitungi pamoja na taa zao.”

Inaendeshwa na kulindwa na Wix

bottom of page