Marko 11:13-14
Akauona kwa mbali mtini wenye majani, akaenda ili aone kama ulikuwa na matunda. Alipoufikia, hakuona kitu ila majani tu, kwa maana haukuwa majira ya tini. Kisha akauambia ule mti, “Mtu yeyote asile matunda kwako tena milele.” Wanafunzi wake wakamsikia akisema,