Luka 6:38
"Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo kizuri kilichoshindiliwa na kusukwa-sukwa na kumwagika kitamiminwa katika nguo zenu; kwa maana kipimo kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa."