Luka 15:4-6
"Tuseme mmoja wenu ana kondoo mia na kupoteza mmoja wao, je, hatawaacha wale tisini na kenda nyikani na kwenda kumtafuta yule kondoo aliyepotea mpaka amwone? mabegani mwake na kwenda nyumbani kwake, kisha huwaita rafiki zake na jirani zake na kusema, ‘Furahini pamoja nami nimempata kondoo wangu aliyepotea.