Yohana 6:35
Kisha Yesu akasema, “Mimi ndimi mkate wa uzima. Ye yote ajaye kwangu hataona njaa kamwe, na ye yote aniaminiye hataona kiu kamwe."