Yohana 14:16-17
Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili awe pamoja nanyi hata milele, huyo Roho wa kweli. Ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui. Bali ninyi mnamjua; anaishi pamoja nanyi na atakuwa[a] ndani yenu."