Yohana 1:12-13
"Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; watoto waliozaliwa si kwa jinsi ya asili, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala kwa mapenzi ya mume, bali kwa Mungu."