Isaya 61:10
“Nimefurahi sana katika Bwana, nafsi yangu inamfurahia Mungu wangu; kwa maana amenivika mavazi ya wokovu, na kunivika vazi la haki yake, kama bwana arusi ajipambavyo kichwani kama kuhani, na kama bibi arusi ajipambavyo kwa vyombo vya thamani.