Isaya 41:18
Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima visivyo na maji, na chemchemi ndani ya mabonde. Nitageuza jangwa kuwa mabwawa ya maji, na nchi kavu kuwa chemchemi.