top of page

Waebrania 12:1-2

  • "Basi, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tutupilie mbali kila kitu kizuiacho, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi. Na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano tuliyowekewa, tukimkazia macho Yesu, mwanzilishi na mwenye kutimiza imani kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu yake, akaketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.

bottom of page