top of page

Kutoka 3:1-4

  • “Basi Musa alikuwa akilichunga kundi la Yethro mkwewe, kuhani wa Midiani, akaliongoza kundi upande wa mbali wa jangwa, akafika Horebu, mlima wa Mungu. akamtokea katika mwali wa moto kutoka ndani ya kijiti; ” Bwana alipoona ya kuwa amekwenda kutazama, Mungu akamwita kutoka ndani ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa akasema, Mimi hapa.

bottom of page