Waefeso 3:17-18
"ili Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani. Nami naomba ninyi mkiwa na shina na mmeimarishwa katika upendo, mpate kuwa na uwezo pamoja na watakatifu wote wa Bwana, mpate kufahamu jinsi upendo ulivyo upana, na urefu, na juu, na kina. ya Kristo"