Danieli 6:23
"Mfalme akafurahi sana, akatoa amri wamtoe Danieli katika lile tundu. Danieli alipotolewa katika lile tundu, hakuonekana jeraha lolote juu yake, kwa sababu alikuwa amemtumaini Mungu wake.