Matendo 2:17
"Siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu. Wana wenu na binti zenu watatabiri, na vijana wenu wataona maono, na wazee wenu wataota ndoto."