2 Samweli 22:17-19
“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; alinitoa kwenye vilindi vya maji. Aliniokoa kutoka kwa adui yangu mwenye nguvu, kutoka kwa adui zangu, waliokuwa na nguvu kunishinda. Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Bwana alikuwa tegemeo langu."