2 Petro 3:10-11
"Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwivi. mbingu zitatoweka kwa mshindo mkuu, na viumbe vya asili vitateketezwa kwa moto, na nchi na vitu vyote vilivyomo ndani yake vitawekwa wazi. Kwa kuwa kila kitu kitaharibiwa hivi, imewapasa ninyi kuwa watu wa namna gani?